Picha: RAY C anunua Mkoko Mpyaa licheki hapa



STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ ameamua kuianika gari yake ambayo anatembelea kwa sasa ... Gari hilo ni aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family..... Pongezi za kutosha zikufikie Ray C popote ulipo. Huo ni mwanzo mzuri baada ya mateso ya madawa ya kulevya yaliyokufanya uwe teja




Previous Post Next Post