Picha: Hasheem Thabeet Akutana na Robin van Persie




Haijalishi kuwa anapokea mshahara wa £12.2 milioni kwa mwaka akiwa na Manchester United, lakini Robin van Persie akikutana na Hasheem Thabeet, lazima aonekana mbilikimo.
e81d82e62f2c11e3bedc22000a9e5acf_7
Na pia haijalishi kuwa, Van Persie ni mshambuliaji kwenye timu bora kabisa duniani, lakini akikutana na mchezaji mrefu zaidi kwenye ligi ya NBA, Hasheem Thabeet wa Tanzania, lazima apost picha Instagram na kuonesha kufurahi kwake.
Wamarekani wanasema, real recognize real na ndio maana Van Persie amepost picha aliyopiga na Hasheem na kuandika:
Was nice to meet big man Hasheem Thabeet.”
And by the way… kama picha hii angepost Hasheem, isingekuwa big deal sana sio? Lakini Van kuipost…. man that’s something else… billionaire’s club..
“Obama spoke about him.. Now Van Persie… Hongera sana Hasheem,” ameandika Fid Q.
Previous Post Next Post

Popular Items