Wale wapenzi wa Tunda man,Blue na Chibwa mtaweza kuwasikia wakali hawa katika ngoma ya pamoja waliyopewa shavu na Producer na Rapper Kutoka Apex Videoz Baghasco....Ngoma inaitwa Tupia Mangoma na Soon Itakuwa iko tayari nikimaanisha video kwani maandalizi na mtililiko mzima wa Behind the Scene ulkuwani wa kufa mtu na washkaji kibao walijitokeza katika kusuport kile kilichoitajika kiweze kufanyika ili kuweza kuifanya video hii iwe kali vya kutosha .....
Team Nzima ya Apex Video Ndio Imeshoot Mzigo Huu...Kaa tayari kwa Video Hii kwani ni kitu tofauti..kwani
TUPIA MANGOMA ni kitu kingine na wasanii waliopewa shavu katika ngma hii ni wakali na wnajua nini wanafanya katika Gemu Hii ya Muziki
Pata Muda wako wa Kuweza Kuzitazama Picha Hizi na Upate Idea Jinsi gani Video Hii Itakavyotoka....
|
KABLA YA VIDEO KUANZA PABLO"DIRECTOR" BAGHASCO,CHIBWA WAKISHOW LOVE |
|
CHIBWA AKIWA NA WASHKAJI KABLA YA VIDEO |
|
MANAGA CLASSIC NA PABLO "APEX VIDEO DIRECTOR" |
|
MANAGA CLASSIC NA PABLO "APEX VIDEO DIRECTOR" |
|
MANAGA CLASSIC NA ANDREW G |
|
MANGA CLASSIC AKIWA NA ABBY SKILIZ |
|
BAGHASCO " RAPPER AND PRODUCER APEX RECORD" |
|
VIDEO QUEEN HAO |
|
VIDEO QUEEN HAO |
|
CHIBWA AKIFANYA YAKE |
|
CHIBWA NA MANGA CLASSIC |
|
MANGA CLASSIC NA CHIEF EDITOR BONGO61 |
|
VIDEO QUEEN |
|
WASHKAJI WAKISHOW LOVE NA CAMERA YA BONGO61 |
|
VIDEO QUEEN |
|
TUNDA MAN ,BLUE NA BAGHASCO WAKIFANYA YAO |
|
TUNDA MAN ,BLUE NA BAGHASCO WAKIFANYA YAO |
|
TUNDA MAN ,BLUE NA BAGHASCO WAKIFANYA YAO |
|
TUNDA MAN , CHIBWA ,BLUE NA BAGHASCO WAKIFANYA YAO |
|
TUNDA MAN , CHIBWA ,BLUE NA BAGHASCO WAKIFANYA YAO |
|
TUNDA MAN , CHIBWA ,BLUE NA BAGHASCO WAKIFANYA YAO |
|
TUNDA MAN , CHIBWA |
|
VIDEO QUEEN |
|
BAGHASCO NA VIDEO QUEEN |
|
CHIBWA ,BLUE NA BAGHASCO WAKIFANYA YAO |
|
CHIBWA ,BLUE NA BAGHASCO WAKIFANYA YAO |
|
BAGHASCO AKISHOW LOVE NA CAMERA YA BONGO61 |
|
BLUE AKISHOW LOVE NA CAMERA YA BONGO61 |
|
HAPA WAKIFANYA YAO |
|
DIRECTOR PABLO AKITOA MAELEZO MAFUPI |
|
READY KWA SHOOT ZA HATARI |
|
CHIBWA AKIFANYA YAKE NA VIDEO QUEEN |
|
VIDEO QUEEN AKIFANYA YAKE |
|
AKIZIDISHA UFUNDI |
|
AKIONGEZA UFUNDI TENA |
|
BLUE AKIFANYA YAKE KWENYE KICHUPA HICHO |
|
BLUE AKIFANYA YAKE KWENYE KICHUPA HICHO |
|
BLUE AKIFANYA YAKE KWENYE KICHUPA HICHO AKIWA NA COPYA YA SHARO MILIONEA KUSHOTO |
Video na Picha zingine zitafuata mapema......