P-Square Wawasili Zambia Tayali Kwa Show Yao Kwa Siku ya Tarehe Ijumaa 18/10/2013



Wanamuziki kutoka Nigeria wanaounda kundi zima la P Square Peter na Poul Okeye wamewasili Nchini Zambia kwa Hisani ya Zamtel Tayali kabisa kwa Show yao  Inayowakabili katika siku ya Ijumaa ya tarehe 18/10/2013,show yao itafanyika katika uwanja wa woodlands.

Peter wa Kupitia akaunti yake ya Intgram Alipost picha hizi na kuandika maneno haya " #Worldtour Confirmed date: tomorrow Zambia, Tanzania Nov23rd, Amsterdam Dec14th, Niger Dec 21st, Dubai Dec 26th...." Ambapo Aliitaja Show yao ya Tanzania ambayo Itafanyika Tarehe 23/11/2013

 

Picha P Square Walivyowasili Zambia Jana Ready Kwa Shoo Yao Leo -Ijumaa





 Hizi ni Bei za Ticket na Sehemu Shoo Itakayofanyika kwa Nchini Zambia

 

Venue : woodlands stadium

Time: 19hrs till late

Tickets : k100 standard

K150 VIP

K200 VVIP




Previous Post Next Post