NEW MUSIC: NIKKI MBISHI ~ YOTE SAWA.

The Hip Hop ambassador kutoka Tamaduni Music Nikki Mbishi a.k.a Baba Malcom a.k.a Zohan ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la “Yote Sawa” imefanyika Noma record chini ya producer Kalorete na Nikki Mbishi mwenyewe.



Ngoma hiyo ipo mahadhi yaleyale ya ki-harakati (HipHop), na hakuna mtu aliyeshirikishwa kwenye ngoma hiyo zaidi ya kupita verse na chorus zote yeye mwenyewe.

Mbali na ngoma hii ikumbukwe kuwa ile Mixtape yake ya Malcom XI inapatikana kwa Tsh. 5000 na T-Shirt kwa Tsh. 15000 tu. Tembelea akaunti zake mtandaoni twitter(Nikki Mbishi @NikkiZohan) na facebook (Nikki Mbishi) kwa info zaidi juu ya mizigo hiyo miwili ambayo pia inapatikana Nyumbani Lounge na Msasani.

Isikiize Iyo Ngoma Hapa Chini.....


Previous Post Next Post