Kim Kardashian Avishwa Pete ya Uchumba na Kanye West

Kanye West amemchumbia Kim Kardashian kwenye sherehe binafsi iliyofanyika huko San Francisco, California kwenye uwanja wa AT&T Park Jana Jumatatu.

KIM KARDASHIAN AKIONYESHA PETE ALIYOVISHWA NA KANYE WEST

Rapper huyo anadaiwa kumvisha Kim pete ya almasi iliyotengenezwa na Lorraine Schwartz. Aliukodi uwanja huo na kuwaalika marafiki zake, familia na wengine wa karibu kuhudhuria.

Kanye West alialika bendi ya watu wa 50 kupiga live nyimbo kama ya Lana Del Rey, “Young & Beautiful” na wa Keri Hilson, ‘Knock You Down’ ambao naye alishikirishwa akiwa na Ne-Yo.
Previous Post Next Post

Popular Items