Miongoni mwa shughuli za mwanzo kabla ya shindano kama hilo ni red carpet. Hiyo ndio sehemu ambapo watu waliovunja makabati yao huoneshana umwamba.
Hata hivyo, siku hizi watu hawavunji tena makabati. Hali imebadilika ambapo katika matukio kama hayo, watu hununua nguo mpya mahususi tu kwa siku hiyo au wengine hutengenezewa nguo zao na wabunifu wa nguo.
Kwakuwa sisi si wataalam sana wa mambo ya fashion, tungependa wewe useme nani aliyependeza zaidi siku hiyo kati ya akinadada hawa. Picha ni kutokana 8020 Fashions Blog.
Faraja Kotta, Miss Tanzania 2004
Salha Israel, Miss Tanzania 2011
Jackie Cliff
Jocelyne Maro
Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lynn, Miss Tanzania 2000
Nasreem Karim, Miss Tanzania 2008