Video: Mzungu wa Marekani aimba wimbo wa Diamond ‘Mbagala’

Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz aingiwa na imani ya muziki wetu kufika mbali zaidi baada ya nguli huyo kushuhudia video ya Mmarekani aliyetambulika kwa jina la Chris Vickio akiimba wimbo wa “mbagala” wote.

Tazama hapa video hiyo

Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia