Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2013 ya furaha duniani, World Happiness Report, iliyotolewa leo, Tanzania ni nchi ya 151 kati ya 156 zenye furaha.
Hiyo ina maana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 duniani zenye huzuni zaidi. Nchi zingine ni Togo (156), Benin 155, Jamhuri ya Afrika ya Kati, 154, Burundi 153, Rwanda 152, 150 Guinea, Comoros 149.
Nchi ya kwanza katika nchi 10 zenye furaha zaidi kwa mujibu wa ripoti hiyo ni Denmark ikifuatiwa na Norway, Switzerland, Netherlands, Sweden, Canada, Finland, Austria, Iceland, na Australia.
Bonyeza hapa. na Usoma ripoti hiyo
Tags:
Uncategolized