Picha: Kampuni Inayotoa Viatu Aina ya Vans Imetoa Toleo Jipya La Vans X Supreme


Kampuni Kongwe inayotoa brand tofauti za viatu kama vans na vingine vingi ...sasa imekuja na brand nyingine aina ya Vans X Supreme Viatu hivi vpya vitazinduliwa rasmi Huko Japan September 12th na 14th .

Na Hizi ni Baadhi ya Picha za Brand Hizi Mpya za Kampuni ya Vans " VANS X SUPREME"









Previous Post Next Post