Jumatano ya wiki hii (Sept 5) ilikuwa ni birthday ya mama Blue Ivy, Beyonce KJnoweles, ambapo Jay Z aliamua kuichukua familia yake na marafiki wa karibu kwenda kusheherekea kwenye ‘luxury yacht’ huko Stromboli, Italy.
Picha hizi ni zinathibitisha jinsi ambavyo couple ya Jay Z na Beyonce inavyopendana, wakiwa na mwanao kipenzi Blue Ivy.
Hii ndio Yatch waliyotumia kusheherekea birthday hiyo