Picha: Yaliyojiri Kutoka katika Usiku wa kukunja Goti, na Happy Birthday ya Ommy Dimpoz Iliyoendeshwa na Host Kmenya..


Usiku wa kuamkia leo, kampuni ya SK Entertainment ikishirikiana na Unity Entertainment, iliangusha party iliyopewa jina ‘East Meets West’ ambapo host alikuwa msanii wa Nigeria, J-Martins. Party hiyo ilitawaliwa na sherehe ya birthday kumpongeza Ommy Dimpoz aliyekuwa akisherehekea siku hiyo jana, Elements Lounge, Dar es Salaam. Tazama picha ya jinsi mambo yalivyokuwa.
















Previous Post Next Post

Popular Items

HOW TO LOOSE GOOD WOMAN

5 THINGS YOU DON'T KNOW ABOUT LIL COOL J