Mary J Blige alikuwa barani Afrika jana kwa kazi moja tu ya kutumbuiza katika tamasha la muziki lililofanyika Nigeria usiku wa jana.
Mary J (42) ambaye aliwasili Nigeria jana (September 27) kwa private jet aliungana na wasanii wengine wa Nigeria na Afrika katika tamasha la ‘Sisters with Soul‘ lililofanyika Lagos.
Mary J akiwasili Lagos, Nigeria
Mary J akitumbuiza katika tamasha hilo
Victoria Kimani wa Kenya pia ni miongoni wa wasanii walioshare jukwaa moja na MJB kutoka Marekani katika tamasha hilo.
Victoria Kimani katika concert ya Sisters with Soul
Mara baada ya tamasha hilo Blige aliiaga Naija na asubuhi ya leo ametweet kuwashukuru mashabiki wake wa nchi hiyo.
Picha: 36ng.com, Lailasblog
Tags:
celebrity News