Picha: Maandalizi ya Kill Music Tour Mkoani Kahama


Kilimanjaro Music Tour 2013 weekend iliyopita walikuwa katika   mji wa Kahama.Na katika picha ni  Maandalizi ya mwisho ya kuhandaa jukwaa na kuset vyombo mbalimbali kwa ajili ya Tamsaha hilo amabapo wakazi wa mkoa huo walikuwa na hamu ya kuweza kushuhudia Tamasha hilo.

Wasanii waliotumbuiza tamasha hilo walikuwa  ni  Linex, Profesa Jay, Roma, Ben Pol, Fid. Q, Lady Jaydee, Izzo Bizness, Barnaba na Recho. 



                                   Hatua za awali za ujengaji wa jukwaa litakalotumika.


                                     Mafundi wakifunga nguzo za jukwaa


                 Muonekano wa jukwaa litakalotumiwa na wasanii watakaopanda jukwaani 


                            Mafundi kazini kufunga nguzo za usalama.


                                Eneo litakalotumika kuuzia makulaji na vinywaji.


    The Big Man Kim (DJ Kim) wa East Africa Radio akifanya sound check ya vifaa vya muziki.
Previous Post Next Post