Hii ni picha ya CCTV inayoaminika kuwa wanaoonekana ni magaidi wa Al-Shabaab baada ya kuingia katika mall ya Westgate huko Nairobi kabla ya kuanza mashambulizi.

Japokuwa picha haionekani vizuri lakini wanaonekana watu wawili wakiwa wamefunga vitambaa vyeusi vichwani, na mikononi wakiwa na silaha nzito huku wakitembea ndani ya mall.
Image Credit via : Mail Online