Kituo cha runinga chenye makao yake makuu, mjini Doha, Qatar, Aljazeera jana kimefanya mahojiano na msanii wa THT, Lameck Ditto.
Ditto ameshare picha za interview hiyo kwenye kurasa zake za Twitter na Facebook.
Lameck Ditto akiongea na waandishi wa Aljazeera
Lameck Ditto kwenye picha ya pamoja na waandishi wa kituo hicho cha TV
“Nimepata nafasi ya kufanya mahojiano na kituo kikubwa cha tv duniani cha Aljazeera leo,” aliandika Ditto.