Tazama baadhi ya picha za red carpet kwenye fashion show (Fashion Avenue) ya mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Ally Remtullah iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Frank Gonga
Maria Sarung na Nelly Kamwelu
Maria Sarungi
Miss Popular
Walitokelezea
Salma Msangi
Walikuwa kivutuo kwa wageni waliofika
Images via: Bongo5.com