Zaidi ya wana mitindo 30 usiku wa kuamkia leo wameshiriki kwenye Fashion Show iliyoandaliwa na mbunifu wa mavazi wa Tanzania, Ally Remmtullah. Onesho hilo la mavazi lenye jina ‘Fashion Avenue’ ama mtaa wa mitindo, limefanyika Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Tazama picha za jinsi ilivyokuwa.
Hamisa nae alikuwa kati ya ma Model
Shamra shamra za uzinduzi hizo
Ally ReHmtulah akitoa shukraNI kwa wageni waliofika
Kama inavyoonekana, ndo steji ilivyokuwa
Shaa alikuwepo kutoa burudani kali
Wadau wakifuatilia kwa makini
Images via: Bongo5.com