Siku ya leo, tarehe 8 September ndio siku ambayo alizaliwa Bernard Paul a.k.a Ben Pol, na kwakuwa kila mmoja ana jinsi ya kusherehekea siku yake, Ben pol yeye ameamua kuachia ngoma "Waubani" akiwa
amemshirikisha msichana "Alice" ambae yeye ameamua kumpitisha kwa asilimia zote kuwa ana uwezo mkubwa wa kuimba
Sikiliza single hiyo iliyotengenezwa studio za Authentic