MSHAHARA mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni 288,000 kwa wiki baada ya makato ya kodi ni rekodi. Leo Tunakuletea historia ya mishahara mikubwa ya wachezaji ambavyo imekuwa ikipanda miaka na miaka.
Tunaumiza vichwa vyetu pia Cristiano: Ronaldo sasa anaondoka na kitita cha Pauni 288,000 kwa wiki
Wakati Johnny Haynes anakuwa mchezaji wa kwanza kulipwa Pauni 100 kwa wiki mwaka 1961 watu walichanganyikiwa na kiwango hicho cha mshahara.
pata picha watauchukuliaje mshahara mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni 288,000 baada ya kodi.
Wakati huo wachezaji ghali zaidi alikuwa analipwa Pauni 20 kwa wiki England hadi Januari 18, mwaka 1961.
Jimmy Hill, Fulham, 1953: Pauni 20 kwa wiki
Johnny Haynes, Fulham, 1961: Pauni 100 kwa wiki
George Best, Man United, 1968: Pauni 1,000 kwa wiki
Falcao, Roma, 1980: Pauni 10,000 kwa wiki
Roberto Baggio, Juventus, 1990: Pauni 50,000 kwa wiki
Sol Campbell, Arsenal, 2001: Pauni 100,000 kwa wiki
Carlos Tevez, Man City, 2009: Pauni 200,000 kwa wiki
Wayne Rooney, Man Utd, 2010: Pauni 250,000 kwa wiki
Cristiano Ronaldo, Real Madrid, 2013: Pauni
288,000 kwa wiki (baada ya makato ya kodi)
NYOTA NANE WANAOLIPWA 'PESA CHAFU' DUNIANI...
1 Ronaldo (Real Madrid) Pauni Milioni 15 kwa mwaka
2 Lionel Messi (Barcelona) Pauni Milioni 13.41 kwa mwaka
3 Neymar (Barcelona) Pauni Milioni 12.57 kwa mwaka
4 Zlatan Ibrahimovic (PSG) Pauni Milioni 12.16 kwa mwaka
5 Radamel Falcao (Monaco) Pauni Milioni 11.74 kwa mwaka
6 Wayne Rooney (Man Utd) Pauni Milioni 11.57 kwa mwaka
7 Sergio Aguero (Man City) Pauni Milioni 11.31 kwa mwaka
8 Yaya Toure (Man City) Pauni Milioni 10.90 kwa mwaka

Tags:
Sports