MAJIBU YA COOL POLL POINT YETU YA KILA WIKI





Cool Poll Point ni Kipengele katika Blog yetu kinacholeta maswali mbalimbali kwa watembeleaji wa blog yetu na hii ni katika kujua mambombalimbali yanayoizunguka Jamii yetu.
Maswali yetu amabayo tunaweza kuhuliza kwa watemebeleaji wa blog hii ni yakawaida kabisa amabayo yatahitaji Umakini na Mtazamo wako kuhusiana na swali halisi litakalo Hulizwa kila wiki.




Picha Hapo Juu Inaonyesha Cool Poll Point Inapopatikana katika blog yetu ni Raisi na Unaweza Chagua jibu unalopenda zaidi ya mara moja tu.


Picha chini inaonyesha Matokeo ya kura ulizopiga wewe msomaji wetu vilevile unaweza like section hiyo Kupitia facebook na kutweet pia




Swali Liliopita liliuliza hivi:
Kati ya Wanamuziki Hawa Nani Anajua Kutawala Jukwaa?

  • Ally Kiba   -     26.67%  >> 8 vote            
  • Diamond Plutnumz    -   26.67%  >> 10 vote                
  • Rich Mavoko   -  20% >> 6 votes                  
  • Ommy Dimpoz  -       20%  >>6 votes                  
  • Shetta    -            3.33% >> 2  votes          
  • Baba Levo    3.33%  >> 4  votes           

Hayo ndio majibu yaliyochaguliwa na wanabongo61

stay tune kwa swali linalofuata
Previous Post Next Post