LIVERPOOL YAITANDIKA MAN UNITED 1-0



sturridge2013_e4db6.jpg
Hatimaye timu ya Liverpool leo imefanikiwa kuifunga timu ya Man United goli moja, Goli hilo limefungwa na Daniel Sturridge mapema kabisa kunako dakika ya nne tu ya mchezo.
Previous Post Next Post