Huyu Ndiye Presenter Mpya wa Kike wa Tusker Project Fame Anaitwa " Joey Muthengi"


Kuna sababu nyingi za wapenzi wa muziki wa Afrika Mashariki kunaswa zaidi kwenye TV zao kila siku za weekend kuangalia msimu wa sita wa shindano la Tusker Project Fame lililoanza jana.


                                               Joey Muthengi, host wa TPF6

Sababu kubwa ni kuongezeka kwa host mpya, mrembo kwenye show hiyo, Joey Muthengi. Mrembo huyo pia ni mtangazaji wa Channel O upande wa Kenya.


Kwa miaka mingi host wa kike kwenye show hiyo alikuwa Sheila Mwanyiga aka Nikki.

                                              
                                                    Sheila Mwanyigha, katikati

Je! Joey atafanya vizuri zaidi yake?



So far, wengi wamemkubali mrembo huyo.
Previous Post Next Post