HIVI UNAFAHAMU KUWA BABAY MADAHA MBALI NA MUZIKI ANASOMEA DEGEREE YA SIASA NA HISTORIA, NI KATIKA CHUO GANI ?..NINI ANAPENDA? FAHAMU MAMBO MENGINE ZAIDI HAPA






Leo katika interview na baby Madaha ambaye hivi karibuni amesaini mkataba mnono na kampuni ya Candy n’ Candy Records Label ya jijini Nairobi nchini Kenya tumeweza kupata mambo kugundua mambo matano ambavyo mashabiki wa mwanadada huyu watakuwa hawajui kumhusu yeye.
Katika interview hii baby ametaja mambo matano ambayo anasema mashabiki wake wanahitaji kuyafahamu kumhusu yeye. Mambo hayo ni haya yafuatayo
1. I’m single and I’m not searching (Nipo single na sitafuti mpenzi)
Mwanadada huyu amesema kuwa kwa sasa yupo single na haitaji kuwa na uhusiano na mwanaume yoyote kwa  kwani mume wake ni “kusaka mahela”
2. Anasoma degree ya sanaa kwenye sayansi ya siasa na historia (B.A- Political science and History) kwenye chuo kikuu huria jijini Dar es Salaam
3. Mama yake mzazi ndio rafiki yake mkubwa maishani
4. Ni mpenzi wa soka na ni mshabiki wa Chelsea na anavutiwa na  Kevin-Prince Boateng wa club Schalke 04 ambaye ndiye alisababisha akanyoa nywele staili aliyonayo baby madaha kwa sasa.

Previous Post Next Post