Diamond Platnumz kuwachezesha ‘Ngololo’ Malaysia wiki ijayo



Hit maker wa single mpya ‘My Number One’ ambayo tayari imeshakuwa gumzo ndani na nje ya nchi, msafi Diamond Platnumz, anaendelea kula matunda ya jasho lake ambapo sasa anatarajiwa kwenda kuwachezesha ‘ngololo’ mashabiki wake na wapenda burudani wa Malaysia wiki ijayo.



Show hiyo iliyoandaliwa na Crown Entertainment inatarajiwa kufanyika IJumaa ijayo September 20 nchini humo.
Previous Post Next Post