Ukikutana na Ommy Dimpoz amevaa mkufu mkubwa wenye muonekano wa weusi na almasi, tambua kuwa amevaa dola 10,000 sawa na shilingi milioni 17 shingoni.
![]() |
| J Martin Akikabidhi Ommy Dimpoz zawadi iyo ya Cheni |
![]() |
| Ommy akiwa amevaa mkufu aliozawadia na J-Martins |
![]() |
| “Ni mkufu ambao una vitu vya kung’aang’aa, kwa msanii mkubwa kama yeye kunua mkufu wa dola elfu 10 anaweza kuafford.” |






