Mshambuliaji wa Togo na Tottenham HotSpurs, Emmanuel Adebayor ameomba kuondoka katika klabu yake ya Tottenham baada ya kukosa namba kikosi cha kwanza na kupelekwa katika kikosi cha watoto (Academy) …
Mshambuliaji huyo anataka kuihama timu hiyo na kujiunga na Klabu ya Queens Park Rangers iliyotaka kumsajili kwa mkopo lakini haikufanikiwa, kwa hiyo Adebayor ameomba uongozi wa Klabu hiyo kumruhusu kuvunja mkataba wake na klabu hiyo ili awe mchezaji huru, ili aweze kujiunga na klabu ya Queens Park Rangers au klabu nyingine ambayo atapata nafasi ya kuchezea …
Tags:
Sports