Mara baada ya habari za kufungiwa kwa magazeti ya Mtanzania na Mwananchi kutoka, Mhariri Mkuu Mtendaji wa New Habari Corporation ndugu Absalom Kibanda aliongea na Mtangazaji wa kipindi cha Makutano Magic FM, Fina Mango na kuelezea namna alivyozipokea habari hizo ,
Fina Mango |
Tags:
Social