ZITTO: SITOGOMBEA URAIS WALA UBUNGE 2015



zitto3_554ad.jpg
Mbunge wa kigoma kaskazini bwana Zitto Kabwe kafichua siri nzito na kudai hana mpango wa kugombea urais mwaka 2015 na wala hatagombea ubunge ila anataka kutafuta chuo na awe mwalimu wa chuo na analenda sasa kufundisha maswala ya uchumi na mazingira ndio dhamira yake.
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia