HomeSocial RAISI JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO byNews Tanzania -Monday, August 12, 2013 0 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi Mteule wa Uholanzihapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013 Tags: Social Facebook Twitter