Ijumaa ya Tarehe 9 ya mwakahuu Ilikuwa ni Siku ya Sikukuu ya Eid ambapo Waislamu wote Duniani waliungana Kusheherekea Sikukuu hiyo. Siku Iliyofuata ambayo Ilikuwa Ni Siku ya Jumamosi Mwanmuziki Mwenye sauti ya kumtoa nyoka Pangoni Lady Jay Dee Alikuwa akidondosha Bonge Moja La Shoo Pande za Arusha Uku Akisindikizwa na Proffesa Jay wa Mitulinga...
Janeth Peter Team Bongo61- Arusha Ameweza Kushare na sisi Picha Hizi Chache ...... Chukua Muda wako Kuweza Kuzitazama
Lady Jay Dee akianza kwa Salamu Kwa Mahabiki...... |
Professa Jay Akichana Jukwaani
Ikaja Hivi......
Shoo Ilianza kama Hivi.....
Watu kibao walihuzuria
Watoto walifurahi kwa Michezo kama Hiyo
Proffesa Jay na Washkaji
Lady Jay Dee Akitoa Vocal taaamu kwa Mashabiki wake
Lady Jay Dee Jukwaani
Mashabiki Wakizidi Kupagawa na Jay Wa Mitulinga
Proffesa Jay Akiwafurahisha Mashabiki
Lady Jay Dee Akikumbatiana na Proffesa Jay
Lady Jay Dee Jukwaani
Proffesa Jay na Nisher