Mkali wa R&b Rihanna ameuangana na wananchi wengine wa nchi mwake Barbados kufurahia tamasha la kila mwaka la Crop Over Carnival. Akiwa amevalia mavazi yanayofanana kiasi na wanawake wa Kizulu wa nchini Afrika Kusini, Riri alionekana mwenye furaha na kwenye picha moja wapo aliyopost kwenye Instagram, aliandika kuwa anaipenda nchi yake.
Tamasha hilo Kubwa liliandaliwa na kampuni ya Zulu International.