Mara nyingi utawakuta pamoja, hutembea pamoja, hufanya kazi pamoja na urafiki wao umekuwa ni kama undugu. Hawa ni miongoni mwa maswahiba bora zaidi kwenye muziki Tanzania.
AY na Mwana FA
AY na Mwana FA

Chege na Temba

Amini na Barnaba
TID na marehemu Ngwair

Joh Makini na G-Nako

Feza Kessy na Vanessa Mdee

Izzo B na Quick Rocka

H.Baba na Pasha

Mr Blue na Nyandu Tozi

Young Killa na Stamina

Bob Junior na Bonge la Nyau

Kala Jeremiah na Roma
Man Dojo na Domo Kaya
