Picha: Huu ndio Muonekano wa Irene Uwoya Katika Kipindi Chake cha Maswala ya Nyumba





Irene Uwoya ameshaanza mpango mzima wa kutembelea nyumba na kuzifanyia ukarabati akiwa kwenye harakati za ku-shoot show yake. Unaambiwa Irene kwenye show anaonekana kama mkandarasi kabisa akiwa amevaa overall na kofia ya wajenzi. Cheki hizi picha akiwa busy na crew yake wakiandaa hii show.



Previous Post Next Post

Popular Items