PichA; FERRARI ZA MAYBACH MUSIC GROUP ZIKIWA ZIMEPIGWA STIKA ZA MAJINA NA SURA ZAO [ MMG Selfmade 3 Ferrari]



Kundi linalo Hit saana katika muziki wa hiohop MAYBACH MUSIC GROUP Wameamua kutoa stika ambazo zitakuwa zikibandikwa katika Magari. (MMG Selfmade 3 Ferrari) Wameanza na Mfano wa kuzibandika katika Ferrari Mpyaaa ... kama jinsi Ferari iyo inavyooneka hapa chini katika Picha
















Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia