Jana Ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Prod kutoka Mj Records. Na kwa mara ya kwanza Master Jay aliweza kuchezea ndoo za kutosha kutoka kwa watu wake wa karibu. Leo asubuhi kupitia twitter yake master jay alikuwa akitweet kutokuonekana kukwepa ndoo za maji!
Check picha chini watu mbali mbali waliodhuria birthday party ya Master Jay.
Image by: GongaMx