MOVIE:ICHEKI TRAILER YA RISE OF AN EMPIRE HAPA,MOVIE KAMILI KUTOKA MARCH 7,2014.




Kama mpenzi wa filamu toka Hollywood basi hii si ya kukosa kabisa,Inshallah mwenyezi
mungu akitujalia uzima mwakani Mwezi wa tatu filamu hii itakuwa hewani lakini hapa
nimekuwekea kipande kidogo nikuonjeshe kilichofanyika ndani ya RISE OF AN EMPIRE,
Tizama hapa sasa.....



Previous Post Next Post