Kutoka kwa Director Mkongwe Marekani "James Cameroon" Atangaza Kutoa Avatar 2,3 na 4 ya Pili Kutoka 2016







Director mkali kwenye movie industry “James Camerom” ametangaza kwamba kutakuwa na avatar 2, 3 na 4.
James Cameron amejivulia umaarufu mkubwa kenye soko la movie baada ya kufanya blockbuster kama Titanic na Avatar na movie zingine nyingi

Titanic

Avatar 2 inatarajiwa kutoka December 2016, wakati Avatar 3 itatoka December 2017 na Avatar 4 itatoka December 2018. Hii inaonesha ni kiasi gani wamejizatiti katika uaandaaji wa movie hizi na hii husababisha kuleta faida kubwa kwa  muandaaji wa filamu hii ambaye ndiye James Cmeroon.....

Titanic

Titanic

Kwani Mpaka Hiv sasa Avatar ndio movie inayoongoza kwa kuingiza hela nyingi katika mauzo yake na kufikia $2.8 billion gross.
Previous Post Next Post