Hivyo ndivyo mwanadada Wastara alivyosherehekea sikukuu ya Eid.




Mwanadada Wastara aliamua kusherehekea sikukuu ya Eid kwa kuamua kwenda kutembelea kaburi la mumewe Marehemu Juma Kilowoko (Sajuki) kwenye makaburi ya kisutu jijini Dar es salaam
Tukio hili lilitokea siku ya ijumaa iliyopita , siku ya Eid mosi ambapo mwanadada huyo alionekana katika picha mbalimbali akifanya usafi kaburini hapo.
“Sikukuu yangu nimeitendea haki sana kwa kwenda kuzuru kaburi la mume wangu, alhamdullilah nimefarijika sana, kimwili siko naye ila atabaki kuwa fikrani mwangu…Alisema Wastara.

Previous Post Next Post