Jana familia ya mastaa Nameless na mkewe Wahu kutoka Kenya wamesheherekea birthday ya Nameless huku wakimkaribisha mtoto wao wa pili katika familia yao, baada ya Wahu kujifungua mtoto wa kike Ijumaa usiku (August 9).
Nyota wa ‘Sweet Love’ Wahu Kagwi aliisambaza taarifa ya kupata mtoto kupitia akaunti yake ya facebook jana , “I have a reason to praise God!!! Today as we celebrate my husband’s birthday, we welcome into the world the newest member of our family. Born last night at 10:45 pm, we welcome little miss nyakio mathenge. may God bless u my angel, my sunshine my joy!!!”
Birthday father David Mathenge a.k.a Nameless naye alielezea hisia zake, “Today is a truely special day for me and my family. As i celebrate my birthday, We welcome a new addition to our family. A beautiful baby gal Nyakio. She is so beautiful and peaceful. I am truely blessed and I thank God for all the blessings. Thank yall for all the wishes and love!”

August unaweza kuwa ndio mwezi wa bahati kwa familia ya mastaa hao kutokana na watu watatu wa familia hiyo kuzaliwa mwezi mmoja, Nameless, mtoto wao wa kwanza Tumiso na aliyezaliwa juzi Nyakio wote wamezaliwa August.
Nameless na Wahu walifunga ndoa mwaka 2004 na kufanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza Tumiso 2006.
Bongo61 tunawapa hongera familia ya mr and mrs David Mathenge kwa kupata bay girl Nyakio Mathenge, tunaamini kwa malezi yenu bora ‘she is not going to be a Liar’!