Baada ya kutua Dar na private jet Aliyokodiwa na Coca Cola, Diamond ashoot tangazo Lingine la Cocacola




Baada ya Kutua kutoka South Africa, ambapo safari yake ilikwama kwa muda jana mjini Nairobi baada ya uwanja wa Ndege wa Kenya Kuungua Kwa Moto. Ndipo Coca Cola Walipoamua Kumkodia Private Jet Mpka Dar ili Kuwahi Tangazo Hili..



, Nasib ameingia mzigoni kushoot tangazo jipya la Cocacola. Kwenye picha za utengenezaji wa tangazo hilo alizoziweka kwenye Instagram, Diamond anaonekana akitembea huku akinywa soda hiyo.

Previous Post Next Post

Popular Items