ASTON VILLA YAISHINDILIA ARSENAL 3-1



Christian-Benteke-Aston-Villa-celeb-2nd-goal- 2988639 a2728
Aston Villa imeishindilia timu ya Arsenal jumla ya goli 3-1 katika mchezo uliokuwa mzuri na wa kuvutia, katika mchezo huo goli la tatu kwa upande wa Aston Villa lilifungwa dakika za lala salama dk 85
wafungaji wa magoli hayo kwa upande wa  Arsenal ni ' Olivier Giroud dk 6 na Aston Villa ni Christian Benteke dk 22, 62 wakati goli la tatu limefungwa na Antonio Luna dk 85
Previous Post Next Post

Popular Items