Steve RnB amshirikisha Mr Blue kwenye ngoma yake mpya ‘Huyu Demu’



Walifanikiwa sana kwenye Tabasamu na bila shaka watafanikiwa tena kwenye Huyu Demu. Baada ya kufanya vizuri kwenye Jambo Jambo na baadaye kutoa ngoma ‘It’s all about Music’ ambayo haikufanya poa, Steve RnB amejipanga upya na anatarajia kuachia single nyingine mpya July 9.
1005432_519495158104934_676244524_n
Kwenye ngoma hiyo iitwayo ‘Huyu Demu’, Steve amemshirikisha Mr. Blue ambaye amewahi kumshirikisha pia kwenye hit single yake Tabasamu.
Previous Post Next Post