RAYUU: Sipendi kufanya dhambi, Ramadhani natulia nakuwa masafi na kumcha Mungu.




Muigizaji wa filamu Swahiliwood Rayuu amesema kuwa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani anapenda kumcha mungu na hapendi kufanya dhambi kabisa licha ya watu wachache kutaka aonekane mbaya mbele ya jamii. Akichonga na Swahiliworldplanet alisema "Mh... Cpendi kufanya dhambi kabisaaa ndo maana mwz wote najitahidi kuwa msafi na kumcha mungu. Msafi kimatendo ingawa ck zote matendo yangu ni masafi bali tuh wachache ndo hunifanya nionekana mbaya"

news via: Swahili World Planet

Previous Post Next Post