Prezzo na Nelly Kamwelu (Miss Universe Tanzania 2011) kuna nini?






Prezzo anajua kuchagua!! Jana kwenye Tamasha la Matumaini lililofanyika kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, mfalme huyo wa kujipigilia pamba Afrika Mashariki, alipanda kwenye stage kutumbuiza na Miss Universe Tanzania 2011, Nelly Kamwelu.






Swali ni wazo la wawili hawa kupanda kwenye stage lililotoka wapi hasa ukizingatia kuwa Nelly hajawahi kusema ni mwanamuziki!! Mhhhh.



Pengine ulikuwa aumjui Nelly Tazama picha zaidi za Nelly hapa chini








188397_495260847185068_253426299_n

Previous Post Next Post