Stamina hataki kuchelewesha video ya wimbo wake mpya, Mwambie Mwenzio aliowashirikisha Darassa na Warda. Weekend hii aliingia location kushoot video mitaa ya Sinza jijini Dar es Salaam.

Darassa aliyeimba chorus kwenye wimbo huo

Kazi ianze

Kazini

Dada mwenye ujauzito akiwa location

Mmoja wa watu wa crew akiwa kazi

Stamina kwenye Bajaj

Stamina

Tangazo, Tangazo

Wakiangalia kazi imefikia wapi

Wasichana watakaoonekana kwenye video hiyo

‘Hapo sawa’

Huyu naye vipi?
































