Mcheki Jay Z Akiwa na Timberland Studio wakati wa kuipika ngoma ya Jay Z Magna Carta Holy Grail, Na iki ni kipande cha Utengezaji wa ngoma iyo



Pata muda wako wa kuweza kukimataza kipande hiki mkifupi cha Jay Z akiwa stdio anarekodi Wimbo wake mpya, Akiwa  yiko na Timberland, Swizzbeats na wengine wakitoa support ili ngoma iyo itoke nzuri.....


Tazama hapa chini......



Previous Post Next Post

Popular Items

ZANZIBAR WAANZA KUTUMIA DIGITALI