MAN UNITED YATWANGWA 1-0 BANGKOK


moyes new f1a2f
Ben Amos akipangua mpira huku Rio Ferdinand akiwa tayari kumsaidia (HM)
moyes2 8b0a9
moyes 4a860
Kocha wa Man United, David Moyes
KOCHA mpya wa Manchester United, David Moyes jana ameanza kazi vibaya baada ya  kuchapwa 1-0 na wenyeji Singha All Stars XI mjini Bangkok.
Bao lililomfanya Moyes aweke kumbukumbu ya kuanza vibaya Man United lilifungwa dakika ya 50 na mchezaji anayevaa jezi namba 14 wa All-Stars, Teeratep Wonothai kwa shuti la mbali.

news via: Sportmail
Previous Post Next Post