Jackline Wolper na Mheshimiwa Halima mdee "ngoma draw" washindwa kuoneshana ubabe tamasha la matumaini.







Jana ilikuwa ni siku ya  tamasha la matumaini lilliloandaliwa na kampuni ya global publisher kulikuwa na pambano la ngumi kati ya mwanadada wa bongo movies Jacquiline Wolper na Mheshimiwa mbunge wa kawe kupitia ticketi ya chadema Halima mdee na hadi mwisho wa pambano hilo hakupatikana mbabe baada ya wawili hao kutoka droo kwa kufungamana kwa makonde 10-10.



Mheshimiwa Halima Mdee, Mbunge wa Kawe aliingia ulingoni huku akisindikizwa  na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari.
Previous Post Next Post