Haya ndiyo Mapokezi ya Raisi Obama Alipofika Ikulu na mkutano wake na waandishi wa Habari Dar es salaam Leo



Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam mchana wa leo.

Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mgeni wake,Rais Barack Obama wa Marekani wakati walipokuwa wakielekea sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na Waandishi wa habari Ikulu,Jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na waandishi wahabari Ikulu,Jijini Dar es salaam leo.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo aliotaka kuupanda Rais wa Marekani,Barack Obama katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo

Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza mgeni wake baada ya kumpatia mapokezi ya kihistoria leo 

news via :Ikulu.Picha
Previous Post Next Post

Popular Items